Friday, February 21, 2014

PERUZI YA ENZI.... LEAVING IS THE ONLY WAY OUT BY SHANIA TWAIN


Okay...you feel like huh!..now  it is over and you r done with all his lies... cheating... and painful memories hahahaa labda na mikong'oto hivi lol
may be.. its seems like being with him is like a one way love...one way relationship... 
Shania anakwambia leaving is the only way out
Na mimi nakwambia yeaah because u deserve the best...  Msikilize mwenyewe!!

I'm not sayin' I have all the answers
And I don't care who's right or wrong
I'm tryin' to pick up the pieces already fallen
And put them back where they belong

So slow down your horses
Stop draggin' me around
And if cryin' is the only way into your heart
Then leavin' is the only way out 

SINDI.... na LAURA PETTIE (57)

57

Robo tatu ya  mgahawa ilikuwa tupu usiku huo wa saa mbili na vichapo kadhaa. Watu wawili watatu waliokuwa mgahawani hapo hawakuzidi watano ukijumuisha na uwepo wa Meddy na Santina katika meza moja iliyokuwa kwenye kona. wachache walionekana kuingia na kuchukua huduma ya ‘Take away’.

Wednesday, February 12, 2014

VALENTINE MOVIE...JUMPING THE BROOM!!


Katika movies za black Americans zinazonivutia hii ya jumping the broom inashika nafasi ya juu kabisa.... nimeshaiwatch mara mbili na waaala haiishi hamu... hahahahaaa kuna vipart unajikuta unapenda kuvirudia rudia...

Ni muvi inayomhusu binti mmoja aitwaye Sabrina...baada ya kuchezewa chezewa na wanaume akaona isiwe tabu Celibacy is the answer (kutoshiriki ngono bila ndoa).... katika pilika pilika zake akakutana na Jason.. kijana mtaratiiibu aliyekubaliana na sharti lakini saaasa kuna makwazo ya kifamilia...kuna visa na mikasa na kuna vijimambo humoooo... in short filamu ni znuri saaana kwa wale wanaopenda romantic movies...

Jason na Sabrina....aaaw!!

CHEKI TRAILER YAKE.... hapo chini

Tuesday, February 11, 2014

PERUZI YA ENZI.... HAPPY BY ASHANTI FT JA RULE...!!



This song brings back so many memories.... i love i love i love Ashanti...
i remember copying her moves...rolling my self like her hahahahaa
Happy was my favorite... i sang it heartily..loudly...happily 

Nilikuwa napenda anavyoanza dakia Ashanti after Ja rule ....


Boy you fill me with so much joy, 

you give whatever it is I need 
my love here to stay won't ever leave, 
so glad that you fell in love with me. 

KISHAAAA......
My love is so good that I wouldn't be without you 
babe, 
couldn't see me without you babe. 
My love is so good that I wouldn't be without you 
babe couldn't see me without you baby. 


all my life I've been searching for you, 
everyday. So glad that I found you boy, 
all my life I've been feeling for you everyday. 
I'm so happy baby. 

Boy you got me feeling so good, 
you take all my pain away from me.. 
without you around I couldn't be 
and I 
know you fell in love with me. 

YATOOOSHA lol!!


ENJOY!!

SINDI....na LAURA PETTIE (56)

56

Nadina aliwatazama wale walinzi akiwa amekata tamaa, akakiachia kifurushi chake cha pesa kidondoke chini na kusimama kama sanamu. Wakamkamata, wakamfunga mikono nyuma na kumkokota wakikiacha kile kifurushi kilichokuwa na pesa pale chini. Nadina akageuka na kukitazama wakati wakimkokota na kumsukuma, wakimburuza, wakimdhalilisha na kumdhihaki.

Thursday, February 6, 2014

MGENI WANGU.....LUPITA NYONG'O!!

Lupita Nyong'o

Anaitwa Lupita Amondi Nyong'oalizaliwa  mnamo March 1, 1983…. team Pisces mwenzangu huyu  lol… Lupita ana uraia wa nchi mbili ambazo ni Kenya iliko asili yake na Mexico alikozaliwa. Mbali na uigizaji Lupita ni muongozaji wa filamu... maisha ndio yameanza kwake...wewe una 30 unalia oooh umri umeenda thubutu!!



Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger