Wednesday, February 12, 2014

VALENTINE MOVIE...JUMPING THE BROOM!!


Katika movies za black Americans zinazonivutia hii ya jumping the broom inashika nafasi ya juu kabisa.... nimeshaiwatch mara mbili na waaala haiishi hamu... hahahahaaa kuna vipart unajikuta unapenda kuvirudia rudia...

Ni muvi inayomhusu binti mmoja aitwaye Sabrina...baada ya kuchezewa chezewa na wanaume akaona isiwe tabu Celibacy is the answer (kutoshiriki ngono bila ndoa).... katika pilika pilika zake akakutana na Jason.. kijana mtaratiiibu aliyekubaliana na sharti lakini saaasa kuna makwazo ya kifamilia...kuna visa na mikasa na kuna vijimambo humoooo... in short filamu ni znuri saaana kwa wale wanaopenda romantic movies...

Jason na Sabrina....aaaw!!

CHEKI TRAILER YAKE.... hapo chini





HIKI KIPANDE CHA CHINI NDIO HUWA NAKIRUDIAAAA
I LOVE THE DANCE MNOOO...


LAS ALONZO... The guy haaaawt shaaa!



Sabrina...beautifuuuul


i love the wedding dress lol


Warembo kwenye movie hiyo


Watanashati kwenye movie


Ma' mkwe na fagio lake lililoleta matatizo hahahahaaaaa



hahahahaa after kumletea kibezi Sabriba kule bar... 
akaishia kukaa mlangoni lol


kuna sehemu nilicheka sana...wakati wa dinner ya familia zote mbili...kukazuka ugomvi kisa hi hilo weeding broom
Mama Sabrina kasema:.... Oh, they not tryin' to "voulez-vous coucher avec moi" us akimaanisha would you sleep with me?
Malcom akamwambia mama Jason:  She said she gonna hit you in the head with a computer, I heard that 
HAHAHAHAHAHAAAAA!!

ONE DAY BEFORE VALENTINE...ENJOY IY!!

No comments:

Post a Comment



Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger