Wednesday, November 6, 2013

PERUZI YA ENZI.... NALIA KWA FURAHA BY JACQUE ft. BUSHOKE





NI WIMBO WA KITAMBO TU ILA EVERY TIME NINAPOUSIKILIZA NI KAMA MPYA TU
LEO NIMEAMKA NAO KICHWANI....


Mbona wanitazama kisha waanza kulia 
kama nimekukosea,naomba unisamehe. 
Hapana hujanikosea,ninalia kwafuraha 
Mapenzi unayo nipa sijawahi kupata.(2 times) 

unaposogea karibu,unaponishika mikono 
unaponitazama machoni,nashindwa kuvumilia. 
Mapenzi unayonipa,sijawahi kupata 
Najiuliza ni kwanini,hatukujuana mapema. 
Nimeishi nawasiojuwa mapenzi,wasiojuwa hata kunyenyekea,nimeishi na wanaojuwa ku force 
wasiojuwa ,hata kubembeleza. 
Napokuwa na wewe,najiona ndiyo mwenyewe. 
Hata kama sina pesa,najiona tajiri 
Hata kama sijala,najiona nimeshiba. 

Naomba mungu atjalie,tufunge ndowa mimi na wewe 
Na watoto ,pia tuzae, 
wakuite baba nami mama 
Maisha yangu bila wewe,ni sawa na basi bila konda 
Maisha yangu bila wewe,mbele sitosonga 

Nabado,nabado,sijafika mwisho 
na bado ,nabado sijamaliza kisabu 
Ukivumilia maisha yangu,utakula vyakwangu 
Mimi si wale wanaojisifu kwa ngono 
Mapenzi si maneno ,mapenzi ni vitendo. 
Nabado nabado,nimesema bado 

ENJOY!

No comments:

Post a Comment



Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger