Monday, May 3, 2010

Haya Yote ni Maisha!

Katika safari ya maisha kila mmoja ana majaaliwa yake hapa duniani,tumezidiana urefu, uzuri, mali na vyeo lakini kipo kimoja kubwa kinachotuweka pamoja, kitu hiki ndicho hasa kinachotufanya sisi tuitwe binadamu bila yale yooote yanayotutofautisha.
Si masikini si tajiri, si mzuri si mbaya si mweusi si mweupe wote kwa pamoja tunamtumainia MUNGU MMOJA!!
Wakati wewe mwenyezi mungu akikujaalia afya na furaha kuna wengine wapo katika huzuni na mateso makali, ni wajibu wetu kuwakumbuka, kuwasaidia hata kwa kile kidogo alichokubariki mwenyezi mungu!
Umesaidia wangapi?
FUNGUA MKONO WAKO UMSAIDIE MWENZAKO...!
PAMOJA!

4 comments:

  1. kuna wakati natamani nipate japo wasaa kama huu. salamu zangu zimfikie Ronia wangu akiwa india

    ReplyDelete
  2. hilo nalo neno wasaa ndio huu! Natumaini zitakuwa zimefika mpendwa. keep in touch

    ReplyDelete
  3. Haya mamaa, ila umenibamba na hayo macho

    ReplyDelete



Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger