....Wapenzi wasomaji wangu
Nasikitika sana kuwa imebidi niikatishe kutokana na feedback kuwa ya kuvunja moyo.
Siku zote kwa Mwandishi, feedback ni kitu kinachomuhamasisha kufanya kazi kwa bidii zaidi lakini pia ni kitu kinachompa mwongozo wa kujitathmini.
kwa hadithi ya Sindi, nimesikitika sana kuwa pamoja na kazi kubwa ya kuwaburudisha. Feedback yake haikuwa ya kuvutia hata chembe. Kuandika page 15 na mtu akazisoma na kupita kimya kimya hata comment hata kushare au hata like inaamisha hakuvutika na ulichoandika, hivyo basi badala ya kuendelea kupoteza nguvu zaidi nikaona niirudishe kabatini mpaka hapo nitakapoona kuna mabadiliko.
Kwa sasa, nimeileta NAHIYARI MAUTI kama zawadi ya kufungia mwaka wa wasomaji.
Sijui Feedback ya hii ila kwa kuwa ni zawadi sina neno..
Poleni sana kwa wale wachache mno waliojaribu kunisupport waziwazi ila ndio hivyo imenipasa kuchukua hatua hii.
Niwatakie usomaji mwema!
Laura Pettie!

jamani laura, nasikitika sana isee kuisitisha
ReplyDeletePlease iendeleze sundi
ReplyDeleteMany thanks for this most informative information on Daily
ReplyDeleteCurrent Affairs, GK and many more. Quality is better than quantity. Amazing write-up!”
Trendslr
Ushuhuda
ReplyDeleteNilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.
Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:
✅ Maneno ya mapenzi
✅ Tahadhari za Ujauzito
✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.
📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159
Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!