SELLES MAPUNDA ni Afisa uhusiano wa kampuni kubwa ya usambazaji filamu ya Steps Entertainment. Leo nilipata dakika zake chache za kuwa mgeni wangu humu ndani. Ni mchangamfu, very down to earth guy na mchapakazi haswaaa... maana ni anaongoza filamu za kitanzania, ni afisa uhusiano na ni mmiliki wa kampuni yake binafsi.... Ilikuwa hivi
Laura: Mambo Selles!
Selles: poa kabisa Laura
Laura: tunaweza ongea mawili matatu?
Selles: bila shaka
Laura: Je una Nickname yoyote mbali na jina lako?
Selles: No
Laura: oookay!
Laura: Uko katika
mahusiano…kama ndio unayaelezeaje mahusiano yako, kama
hapana kwanini hauko katika mahusiano
Selles: Nipo kwenye mahusiano.
Laura: okay ladies out there the gentleman
is not available, sit down pliiiiz hahahaaaa
Laura: Unapenda burudani
gani
Selles: Kusikiliza muziki
na kuangalia sinema.
Laura: kumbe tunashea
burudani. Nice!
Laura: Ukiambiwa uchague watu watatu popote duniani wa
kupata nao dinner usiku mmoja katika hoteli ya nyota tano. utawachagua akina
nani na kwanini
Selles: Nitakuchagua wewe,
Boss wangu na mtoto wangu, coz nawapenda sana .
Laura: Hahahahahaaa Thanks I’m humbled Sel…. your Girlfriend should skip this question lol!
Laura: Je unafuatilia siasa za nchi hii, kama
ndio unadhani zinakidhi matakwa ya demokrasia?....kama
hapana kwanini hufuatilii
Selles: Sipendi siasa coz ni mchezo mchafu.
Laura: Aisee!
Laura: Wewe ni mpenzi wa
chama gani cha siasa?
Selles: Chadema
Laura: Same team! haleluyah
*wink*
Laura: Kama
si kuwa director wa filamu za kitanzania, unadhani ni kazi gani ungekuwa
unafanya sasa?
Selles: Ningekuwa Daktari
Laura: wow!...
Laura: Nani kimbilio lako
unapikuwa katika wakati mgumu?
Selles: Mungu
Laura: brilliant!!
Laura: Unatamani kufika
wapi ambako hujawahi kwenda
Selles: Peponi
Laura: Hahahahaaaa
nilishaanza kufikiria mambo ya ufaransa, visiwa gani sijui lol
Laura; Unapenda rangi gani?
Selles: Blue
Laura: Mh! you sound like Chelsea
fan yeyiii
Laura: unapenda chakula na
kinywaji gani?
Selles:Ugali, dagaa na
maharage, juisi ya Embe
Laura: Yummy! but mmmmmh… what a lie! hahahahaaaa come on why this is a lie!
Laura: umewahi kusoma
hadithi za Laura Pettie?...kama ndio ulivutiwa na ipi
hasa
Selles: nasoma zote huwa
zinanivutia
laura: My pleasure! na asante
kwa support
Laura: Ni vitu gani
huvipendi kabisa katika maisha yako
Selles: Sipendi ugomvi,
majungu na wivu.
Laura: Ni kweli mambo hayo huzalisha umaskini zaidi
Laura: UZUSHI.COM: kipi
huwa kinakuvutia kwa jinsia nyingine mara ya kwanza unapokutana naye…urefu,
rangi, umbo au nini?
Selles: Pua kama yako,
rangi nyeusi asiwe mnene sana wala
chembamba
Laura: hahahahahaaa that is
not funny Selles LMAO!
....na kutokana na matatizo ya kiufundu tukaishia hapa! i had i lot of questions...na nilifurahi mno kwa kunigawia wakati wake kwa mazungumzo machache kama haya!
Next time it might be you a reader!..... Usinikimbieee!
No comments:
Post a Comment