Karibu sana katika blog ya Laura Pettie!
hapa utakutana na mambo mchanganyiko yenye kukupa fursa ya kujifunza, kuelimika na kuburudika. Makala za maisha, mikasa ya kimapenzi, promotion mbalimbali pamoja na mambo kedekede. karibu sana bloguni.
Kuishi ni kujifunza! hii ndio kauli mbiu yetu...tumekukusanyia mchanganyiko wa burudani.... mchanganyiko wa kipekee kabisa ukikutana na peruzi ya Enzi yenye nyimbo za kale...msemo wa leo ambako unajifunza na kujikumbusha misemo ya kiswahili...Hadithi na Simulizi za Laura Pettie...Barazani ambako kuna makala za maisha na ushauri mbalimbali...marejeo ya filamu/ tamthiliya... mahojiano mbalimbali.
Wakati ukiburudika na haya kuna mapya yako njiani....mapya kabisa yenye nia ya kuleta mabadiliko...kona ya mapishi, mashairi ya nyimbo za kitanzania.... Tips mbalimbali za usafi, upambaji na maisha kwa ujumla bila kusahau...5 minutes with God kona yenye nia na kukuweka karibu na Mungu na hapo hapo ukiletewa Jasiriamali, kona yenye nia ya kukuelimisha kuhusu ujasiriamali na njia zake, ujanja wake na kadhalika....Stay tuned!
hiki ni kituo cha kazi, kijiwe na stori kama una lolole la kuchangia au kupost usisite kuwasiliana nami kwa njia ya barua pepe iliyoainishwa katika ukurasa wa mawasiliano!...Umbeya suna kusutwa si tija si hoja
Njoo tuzungumze.... njoo tuburudike!
Laura Pettie Kissakwa
Blogger