Flexy collection.... duka la mavazi lililopo Kijitonyama karibu na ilipokuwa chagga bite reastaurant...inakuletea collection ya mavazi ya kisasa kwa bei ya kutupa kabisa!
need i say more..... fika ujionee...ujipatiee
ukishindwa kupendeza ofisini umetaka tu!
mjini hatuvai magunia ati!
watu wanapendeza tu hujiulizi kwanini usiwe wewe?
yaani kama hupajui niambie nikusindikize ati
FLEXY ROCKSSS!!!!
looking fab....got the blauzi yeyiii
MORE TO COME......
WASILIANA NA FLEXY COLLECTION KWA SIMU NAMBA
0718-378384
No comments:
Post a Comment