Friday, July 19, 2013

BARIKIWA NDUGU RAFIKI;..... UTABAKI KUWA MUNGU BY ADDO NOVEMBER



WIMBO HUU UNIBARIKI KILA LEO...KILA SIKU IITWAYO LEO
Nimekuandikia mashairi beti tatu tu just usikie ni nini kinanibariki ninapoulisikiliza...
Addo November ubarikiwe kwa huu wimbo kwani pamoja na yote ambayo binadamu anayapitia ...MUNGU ATABAKI KUWA MUNGU KWA NAMNA TU ANAVYOTUSHIKA MKONO!



utabaki kuwa Mungu…. utabaki kuwa Mungu… utabaki kuwa Mungu …..Jehova shalaaa
utabaki kuwa Mungu…. utabaki kuwa Mungu… utabaki kuwa Mungu …..Jehova shalaaa
utabaki kuwa Mungu…. utabaki kuwa Mungu… utabaki kuwa Mungu …..Jehova shalaaa

bwana ulisema…bwana ulisema…bwana ulisema…wanipenda upeoo
bwana ulisema…bwana ulisema…bwana ulisema…wanipenda sanaa

1. Dunia nzima iniache…kama wewe wanipenda…mimi sitapungukiwa na chochoteee
Ndo maana leo ninaimba…. watu wote waelewe…kwamba wewe ndiwe Mungu…Jehova shalaa

CHORUS…
Utabaki

(Nasema utabaki )…. utabaki kuwa Mungu
(Adonai utabaki)….. utabaki kuwa Mungu
(Elishadai utabaki)…. utabaki kuwa Mungu
 Jehova shalaaa

(Nasema utabaki )…. utabaki kuwa Mungu
(Ee Mungu utabaki)….. utabaki kuwa Mungu
(Jehova nisi utabaki)…. utabaki kuwa Mungu
 Jehova shalaaa

(Nasema utabaki )…. utabaki kuwa Mungu
     (utabaki)           ….. utabaki kuwa Mungu
(jehova nai utabaki)…. utabaki kuwa Mungu
 Jehova shalaaa

2. Umeandaa meza kubwa ee…mbele ya watesi wangu… umenipa mali nyingi…nao wanaonaa….isitoshe wewe bwana …umenizingira kwa wigo…ule wigo wa ayubu nami ninaooo
umenipa marafiki…tena wazuri wa kutosha…umenipa waombaji waniinuee…maana wewe ndiwe Mungu…dunia nzima yahimidi…jina lako yesu.. Yeesu Yesuuu

3. Yule msichana…nilodhani mke…amenikimbia.,..mimi sikuachii…mwanadamu kitu gani zaidi yako wewe mwokozi…alikuwepo Cleopatra …sasa mifupaa
Yule mwanamama…ulompa mume…ametelekezwa… yeye hakuachi…mwanaume kitugani… zaidi yako wewe mwokozi…utabaki kuwa mungu…nakuabuduuu


enjoyyyy







No comments:

Post a Comment



Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger