WAPENDWA WASOMAJI WANGU...
...pengine nimechelewa kidogo kuwatakia kila la kheir lakini wanasema bora kuchelewa kuliko kutokufika kabisa!. Nawatakia mwaka mwenye mafanikio, wenye kila unaloomba kulipata na wenye kumjua Mungu na kumkaribia.
2013 ndio huoo umeingia kwenye historia na kila lililokuletea machozi ya huzuni, sononeko na jitimai acha liwe historia.
kesho nitawawekea tena mambo 10 ninayofikiria, ninayokushauri kuyatilizia mkazo mwaka huu!
ENJOY RESPONSIBLY!!
tuwekeee basi sindi mama mchungaji
ReplyDeleteNa wewe pia
ReplyDelete