Ni wana Coastal Morden Taarabu... wakidondoka na kitu Kukupenda isiwe tabu!
Kwa wale wapenzi wa Taarabu basi mtakuwa mnamjua Maua Tego...sauti mashallah... kinanda burudani... maneno kuntu... una lingine la kungoja? waaaala!!
Msikie pale...nasikia rahaaa naona utamu nasikia rahaaa naona utamu hahahaa
ENJOY!!
No comments:
Post a Comment