Tuesday, December 25, 2012

EGOLI PLACE OF GOLD......WAHUSIKA MIAKA YA 90!!



Kama ulipata kuwa mpenzi wa tamthiliya hii ya Egoli miaka ya 1995-1997....Characters  wafuatao hawatakuwa wageni machoni pako. Nimeweka waliokuwa my favorite wachache tu!! ilawapo weeengi sana.   

Egoli imedumu katika seasons 18! kwa miaka 18 ndani ya episodes zaidi ya 2,000! ikishirikisha wasanii wa kimataifa na toka mataifa mbalimbali. 

Kwa Tanzania Sauda Simba Kalumanga ndiye aliyepata nafasi ya kuwa muigizaji katika scenes tano za Egoli  mwaka 2002. Wengi wao sasa ni watu wazima sana na ujana umewapa mkono lakini kwangu mimi Egoli inabaki kuwa Tamthiliya ya kwanza ya kisouth Africa kuiona na kuipenda since then nimekuwa addictive na South Africa's soap operas kama Isidingo, generation, Scandal, Muvhango, 7de Laan and Jacob's cross




Mitch.....the guy was smart
uhusiano wake na Samantha ulikuwa kivutio kikubwa


Stephen....Damn! the man was haaawt
He made me wish to grow up in one nite and date him hahahahaaaaa

Karin.... she was so loving jamani
mapenzi yake na Steph....aisee yalikuwa yananiumiza sana wakigombana 


Chris  Edwards.....Mwenye nyumba
Nilipenda alivyokuwa anaendesha kampuni na familia yake
all in all uhusiano wake na sekretari wake Tresa ulikuwa balaaa

Donna Makaula
I grew up with her in my mind.....wishing to be a lady like her
Smart mwilini mpaka ubongoni!!



Lowna..... huyu sasa mbwembwe zake tu ndani ya nyumba ya Edwards aisee




Hao ni wachache ambao mpaka leo nawakumbuka vizuri kabisa
ukiachilia mbali wengine ambao walikuja baadaye kabisa wakati ilipokatishwa ITV na Isidingo kuchukua nafasi yake.

EGOLI PLACE OF GOLD!















1 comment:

  1. HATUPISHANI EGOLI ILICHUKUA MAMILION NYUMA YAKE WAKATI ULE MNET BUREE DUH.SASA CJUI KAMA BADO IPO KWELI SOAPY ZA KI SOUTH NOMAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete



Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger