Wateule wa Bwana karibuni mezani pake, njoni, Bwana awaalika enyi wenye moyo safi x 2
Amewaandalia, leo, karamu takatifu, njoni mwili na damu yake chakula safi cha roho x 2
Amewaandalia, leo, karamu takatifu, njoni mwili na damu yake chakula safi cha roho x 2
- Kwanza tujitakase, nafsi zetu wenyewe, tukishakutakata, tujongee meza yake.
- Karibuni mezani, Bwana awaalika, kwenye karamu yake, enyi wenye moyo safi.
- Na tule mwili wake, na tunywe damu yake, ndicho chakula bora, cha roho zetu karibu.
- Tusipokula mwili, na kunywa damu yake, tunazinyima roho zetu neema zake Bwana.
ENJOY!!
No comments:
Post a Comment