Sunday, December 9, 2012

HAHAHAHAAAAA....UHAI MTAMU BWANA!




   ....Nimecheka mpaka nimehisi kichwa kinauma....

Aaah! hapana it makes my night so niiiice cant stop laughing aisee!

Ningekuwa ni mimi ningekufa saa nyingi kwa woga tu

PERUZI YA ENZI:...GOOD ENOUGH BY BOBBY BROWN



 .....moja ya nyimbo zilizotamba miaka ileeee, nilikuwa naupenda sana na kwa kweli sikuwa najua ni nini hasa kilikuwa kinaimbwa....miaka ikapita na nikaja kujua ni nini hasa kilikuwa kinaimbwa...i was like whaaat! hahahahaaaaa Bobby is a bad news!

 Napenda anapoitikia hiki kiitikio, it sounds goooood

 If ain't good enough good enough baby
 I'll work harder
 I'll keep pumpin every minute girl
And baby I'll do you up, do you up baby
And I will not stop till I know your heart hahahahaaaa! 

 Enjoy the song and keep the lyrics to yourself *wink*

Saturday, December 8, 2012

AMBASSADORS OF CHRIST - MTEGEMEE YESU WITH LYRICS




Katika safari yetu ya maisha hapa duniani, kuna nyakati tunakumbana na matatizo ambayo kwa namna moja ama nyingine yanatufanya tuone Mungu yu mbali nasi.....yanatufanya tuone Mungu ametususa, ametuacha na kamwe hasikilizi maombi yetu....

 Ni nyakati kama hizi wengi wetu hukata tamaa, huacha kusali, humgeukia binadamu kama kimbilio (waganga) na wengine huenda mbali kiasi cha kukatisha maisha yao. Wimbo huu wa Ambassadors hunipa faraja, tumaini na subira ya kuwa Mungu ananisikia na atanijibu.

 Nimeandika lyrics za wimbo huu, ziwe kama zawadi kwa wale wote wanaopitia nyakati za taabu na mateso. ENJOY!!!

Friday, December 7, 2012

MGENI WANGU.....KATLEGO SIBEKO

KATLEGO SIBEKO.....


Kogmotso Christopher a.k.a Katlego Sibeko


Katlego akiwa na mumewe wa Isidingo Mr. Sibeko 
na muigizaji mwenzao Nikiwe
CHUNGULIA ZAIDI UPATE INTERVIEW YAKE NA JARIDA LA NUBIAN

Wednesday, December 5, 2012

BARAZANI: MSAADA WA PROMO......


Nataka kusema jambo....likikugusa hili basi utaniwia radhi mwenzangu

Katika maisha binadamu huwezi kuishi tu bila kuhitaji msaada wa mtu mwingine.... Nazungumzia msaada wa aina yoyote. Adamu mwenyewe alipewa msaidizi ndio iwe wewe binadamua wa leo wa kizazi cha ngapi sijui.... Maisha yanapanda, maisha yanashuka huwa hayasimami na yakisimama kwako basi unawalakini. Unayemsaidia leo anaweza kuja kukusaidia kesho kwa msaada mkubwa kuliko huo unaompa.

Monday, December 3, 2012

MGENI WANGU.....ANNIE

ANNIE NG'INGO...

Annie
Nimeamua tu siku moja moja kuwa na mgeni humu ndani…nimuulize machache, tuongee hiki na kile. Wahenga walisema mgeni baraka nami ndio nazikaribisha baraka hizo ndani ya blog hii…. Naanza na Annie huyu dada nimependa tu na hulka yake, hana makuu na mtu hana chokochoko na watu...hajui kujivuna wala kupanda seuze ile kujiskia juu wakati aliyejuu ni Maulana peke yake. Nilimuuliza machache naye bila hiyana akanijibu
LAURA: Je una Nickname yoyote mbali na jina lako?
ANNIE:  Hapana sina
LAURA: Heheheee you need one darling! may be nikupe  nickname moja  Kamamaa*wink*

LAURA:Uko katika mahusiano?…kama ndio unayaelezeaje mahusiano yako, kama hapana kwanini hauko katika mahusiano?
ANNIE: Hapana siko kwenye mahusiano yoyote,sababu nimeamua kutulia kwa muda ili niishi maisha ya peke yangu
LAURA: Time will tell dear, you might need somebody to lean on someday....wish you luck!

Friday, November 16, 2012

ENZI HIZO: KOFFI OLOMIDE NA KITU MICKO....!!

MICKO......NDOMBOLO FEVER!!!

...wimbo huu ulioimbwa na Koffi Olomide akiwa na kundi lake, ulipata kutamba sana enzi hizo. Ni wimbo machachari kabisa unaweza kuhamisha akili yako kwa muda, ukakuburudisha na pengine kukukumbUsha yaleee ya enzi zileee Nimeukumbuka leo, nimeucheza na nimekumbuka mengi mno Nimeona nikurushie nawe uburudike na usuuzike moyo! PATA RAHA....MAISHA MAFUPI HAYA!


Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger