MICKO......NDOMBOLO FEVER!!!
...wimbo huu ulioimbwa na Koffi Olomide akiwa na kundi lake, ulipata kutamba sana enzi hizo. Ni wimbo machachari kabisa unaweza kuhamisha akili yako kwa muda, ukakuburudisha na pengine kukukumbUsha yaleee ya enzi zileee
Nimeukumbuka leo, nimeucheza na nimekumbuka mengi mno
Nimeona nikurushie nawe uburudike na usuuzike moyo!
PATA RAHA....MAISHA MAFUPI HAYA!
No comments:
Post a Comment