Wednesday, February 8, 2012

IT IS YONDO SISTER....SHE MAKES ME A PROUDLY AFRICAN WOMAN

HAHAHAHAHAAAAAA.....YONDO SISTER!




NI WAPI HUU WIMBO UNAKUKUMBUSHA WAPI?....NINI> NA NANI?

I LL DANCE THIS SONG IN EVERY BIRTHDAY PARTY...BACK TO 1995 OH MY GOD!!

Na MUCHANA....BONGOMAN

....mimi na nyimbo za zamani.....zamani na mimi....wimbo huu hauishi ladha masikioni mwa wale waliopata fursa na kuusikia miaka ile....




najiuliza sana nini hasa wanamuziki wa leo wanapungukiwa kiasi cha kushindwa kutengeza vitu murua, vitu vitamu kama hivi ambavyo rika lolote, taifa lolote linaweza sikiliza na kukubali kuwa this is sn african music ....the pure one!

i love Kandabongoman.....and NA MUCHANA is one of my favorite.... the words although we dont know the meaning but the rhythm ....the guitar ooh my....

get it...enjoy it!

Sunday, February 5, 2012

....BINADAMU KAMA VIDOLE....

....nimepotea hatimaye nimerudi kijiweni... inshallah! mwenyezi Mungu yu mwema na natumaini kwa rehema zake mna hali njema na kama mambo kinyume bado tunapaswa kumshukuru Mungu kwa vile kuwa hai tu ni zawadi tosha!

...bila kuzunguka niseme tu kuwa Binadamu sawa na vidole, hatulingani...hatufanani!
nasema hivi kwa minajili ya kukueleza kuwa unapoona mwenzio wa kulia ananyanyuka, anatambaa kisha anatembea waama wa kushoto kwako nae kanyanyuka na kupaa kabisa huna haja ya kuhamanika!

....Majaaliwa huwatofautisha hata mapacha waliotoka tumbo moja wakati mmoja seuze wewe kwa binadamu asokuhusu kwa ndewe wala sikio?....nikwambie tu ukweli kuhamanika hakukupi uhakika wa kufika unapotaka.... na badala ya kuhamanika na kususuika....jiulize wamefanyaje wakasimama na kuondoka na kukuacha hapo ulipo? yawezekana wakati wananyanyuka na kuondoka wewe ulikuwa umekunja miguu yako....!

sijui unanielewa au ndio unanisoma tu kumaliza aya moja baada ya nyingine?!..... Mafanikio ya mwenzio yasikufanye ukakosa usingizi, ukamkufuru Mwenyezi na pengine ukaisaka na mizizi.... wewe dole gumba fanya ya dole gumba utoke kama dole gumba hii ya kutaka kuwa kama kidole cha shahada wakati wewe ni gumba ni kujitafutia matatizo....kuubeba mzigo usojua utautua lini na wapi, yahusu!

Ridhika na majaaliwa yako, na ukitaka kuyapeleka juu yapeleke kwa moyo safi hali ukiwaombea mema na rehema waliokukuta

wakakupita...roho ya kuumia anapofanikiwa mwenzio ni uhasidi...tupa kule ndugu yangu....hiyo nguvu ya kufikiria maumivu ukiitumia kufikiria namna njema ya kumfikia.....utamfikia na utampita...wenyewe wanaita wivu wa maendeleo....sio huu wa kusengenyana, kuombeana mabaya, kuchukiana, kuchekeana hali moyoni mnakamiana.....

....binadamu kama vidole, ukiujua huuu wenzio wanaujua ule! ukiwa na hiki wenzio wana kile! kidole cha pete kikipewa pete ya ndoa na dole gumba nalo litake pete ya ndoa ajeee!? jifunze tu wamekipataje yatosha!

yule yule Laura!

SHY GUY.....DIANA KING....

......King's first single "Shy Guy", co-written and produced by Andy Marvel, from her debut album Tougher Than Love, became a hit, reaching #13 on the Billboard Hot 100 and being certified gold by the RIAA in the U.S.; the single also hit #2 on the UK Singles Chart,[1] as well as reaching #1 on the Eurochart Hot 100 Singles chart, going on to sell nearly five million singles worldwide. The song made the soundtrack to the 1995 film, Bad Boys. "Shy Guy" was also ranked by the Japanese radio station J-Wave as the number-one song of 1995. SOURCE: WIKIPEDIA


Diana King - Shy Guy by Hakunamatata67

....It is one of my favorite hits that reminds me of my childhood...i never knew the lyrics even the meaning but i would never let the music pass by without singing it along with Diana king...

recently, in 2002 Easther Bennett teamed up with reggae band Aswad to record a cover of Diana King's "Shy Guy", which was released as a single in August 2002....

WHEN YOU HEAR THIS SONG WHERE DOES IT TAKE YOU?...WHAT DOES IT REMIND YOU?....TO ME It is full of my childhood memories!

GO ALONG WITH THE CHORUS...

Oh lord have mercy mercy mercy
Di man dem in a di party party party
Di ole a dem sexy sexy sexy
Watch dem just a
Follow me follow me follow me
Have mercy mercy mercy
But none a dem no move me move me move me
Shy guy a weh me wanty wanty wanty
Only him can make me irie irie irie

THAT IS IT....KEEP ON DIGGING IT!


Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger