Tuesday, May 20, 2014

PERUZI YA ENZI.... FROM ME TO YOU BY YVONNE CHAKACHAKA NA LYRICS ZAKE!



I have come to plead receive the love from me
So hard to find someone who’s kind
Now it’s to share to one another show some care
We all need some understanding to survive
Join me everybody to find the love we need

This is from me to you
All we have to do
Live together in our world and find the love we all once knew
This is from me to you
All we have to do
Live together in our world in true harmony

Monday, May 12, 2014

KOREAN DRAMA.... LEE MIN HO a.k.a CITY HUNTER!!



Lee Min Ho 

 Nilikosa tu kazi ya kufanya nikajikuta natamani kuangalia chochote cha kunichangamsha…. Katika harakati za kutafuta kiburudisho nikaletewa CD ya series ya kikorea…. Mimi ni mpenzi mkubwa wa series za kikorea .… kuanzia zile za kihistoria mpaka za kisasa, weka mapenzi na maisha au visasi na vita kwa wakorea hunibandui kwenye kiti!


Safari hii nikakumbana na hii series ya CITY HUNTER!... Wakati naanza kuiangalia kidogo nighairi na kuiweka kando lakini saa moja mbele nikajikuta nang’ang’ania kuiangalia masaa. Sio tu kwa utamu wa hadithi na maudhui yake bali pia kwa waigizaji mahiri walioshiriki hususani muigizaji mkuu LEE MIN HO!!
Aisee!... ni miaka mingi sijakaa kwenye Tv nikatazama kitu kwa usongo na kuvutiwa na muigizaji wa kiume kiasi cha kuhisi nawehuka…ila kwa Lee Min Ho heheheeee I had to rewind and rewind some parts of the series  and guess what….i couldn’t get it enough LOLEST!!
Mkorea Lee Min Ho
Ni ndani ya miezi miwili tangu niitazame Ciy Hunter…. Na tayari nimeshatazama series zake zingine tatu…
kuna hiyo City Hunter …. Hii ni ya kipelelezi, visasi na karate za kutosha, mtoto anaibiwa toka kwa mama yake, aliyemuiba ni rafiki wa marehemu baba wa mtoto. Anamkuza porini uko kama mwanaye kisha amatuma mjini kulipa kisasi… yanayoendelea hapo hadi mtoto kuja kugundua kisasi anacholipisha ni kwa maslahi ya baba mlezi tu… ngoma imeranduka vibaya mno! Piga nikupige zimeshatembea vya kutosha!
Kuna hii Personal taste…. Hii bwana Jamaa mtu wa michoro ya ramani, baada ya mzee wake kudhulumiwa mali akaamua kufungua kampuni yake akihangaikia tenda hapa na pale ili afikie malengo… katika kutafuta namna ya kushinda tenda ambayo anaishindania na kijana mwenzake ambaye baba yake ndiye aliyewadhulumu akina Lee min ho… 
SOMA ZAIDI....

Saturday, April 26, 2014

THAT MOMENT....


You're the most beautiful couple dear. 
As you unite in Marriage I wish you years of happiness, love and joy!
Words are not enough today, 
It's a love that lights your way. 
May a joy be never ending, 
Warmest belated wishes I am sending!

CONGRATS MY FRIEND NEEMA & HUBBY!!
MUCH LOVE





PERUZI YA ENZI...I NEED YOU BY 3T!!



AAAWWWW! hawt hawt haaaaawt guys.... you remember this song?
you remember these handsome men?.... alright
now lets sing....while watching am sure you all wont even sing along... the guys are super cute

I need you girl
I couldn't live a day without you
Well I tried to write a special song
A love song just for you
To explain the way you make you feel inside
Thought the meaning may be simple
And the words may not be new
I couldn't make it clearer if I tried
I need you
And I couldn't live a day without you
I need you
More than anyone I ever know
I need you
And I wanna build my world around you
I need you
I need you

BARAZANI....

HEBU TUNZA YA LEO YAKUSITIRI KESHO EBO!!

Ni kitambo kweli hatujakutana barazani hapa… kuzungumza hiki na kile lakini leo kwa kudra za Mwenyezi Mungu tuko pamoja tena. Alhamdullilah!

Basi hivi juzi kati hapo katika mishughuliko ya hapa na pale nikakutana na kijana mmoja ambaye nilipata tu kufahamiana naye kipindi cha nyuma. Kwanza nilisikitika si tu kwa ile hali aliyokuwa nayo bali pia ulinganisho niliofanya kipindi cha nyuma nilichomuona na sasa hivi alivyo. Tunasema maisha yanapanda na kushuka ni kweli! ile sasa kuna wanaopandishiwa kisha wanayashusha wenyewe...!

Tuesday, April 8, 2014

PERUZI YA ENZI.... RANGI YA CHUNGWA BY NYANYEMBE JAZZ BAND!!



Huu ni moja kati ya nyimbo ambazo hazichuji... hazichoshi masikioni
zina ujumbe maridaaadi
zina ladha mahsusi
zina sauti mantashau
niseme nini lingineee
Zinanikumbusha mbaaali wakati nakua naiskia RTD pekee
Burudika!!


Thursday, March 27, 2014

PERUSI YA ENZI:... DISTANCE BY LAY JAY DEE....


i love Jay Dee... one of the amazing Musicians in Tanzania.
Huu wimbo nauimba wooote utadhani niko bendi moja na Jay dee hahahahaa
naupenda sana... umechangamkaaa...unagusa moyooo
Hivyo viuno vya hao kina kaka tu Yalaaaaaah!

MSIKIE....
Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji
Moyo wangu wakuwaza mpenzi uko mbali nami
Chorus
Nakupenda, nakutaka, nakuhitajiiii
Moyo wangu wakuwaza mpenzi uko mbali nami

Ngiyakuthanda, ngiyakufuna, ngiyakudinga
Nhliziyo yami, ngikabanga ngawe kodwa ukude nami mpenzi
I love you, I want you, and I need you
My heart is thinking of you but you're far away from me

Je t’aime, je t’ave, je besoin du toi
Mmh mon coeur te pans, Mh tiele du moi
Nalingiyo, naleliyo, naza naposa nayo
Motema nanga ezokisa yoo ozali mosika nanga
Ndagukunda, ndagushaka, ndagukeneye
Umutima wanje ula kwiyumvila aliko ulikule chane
Nze nkwagala, nkwagala, nkwagala nyo o
Umutima gwange gukulowoza, naye oliwala nyo nange

UBETI WA KWANZA
Usiku wa manane, nikasikia waniita
Kufumbua macho nagundua ni ndoto
Usiku wa manane, nikasikia kuh kuh
Kutizama pembeni sikuoni mpenzi
Mara nyingi peke yangu nitembeapo njiani
Nina kuwaza wewe na ninapata kiwewe
Rudia kiitikio - Repeat Chorus
\
UBETI WA PILI
Uwapo safarini mawazo mengi kichwani
Ili kujiliwaza ninapata shishii
Penzi si la mmoja mapenzi ni ya wawili
Na ni ya mimi na wewe witunge mwana wa mawe
Ili siku moja tuwe kitu kimoja
Tuje tujenge pamoja na watoto tuleee

Rudia Chorus ....kishaaaa
Nakupenda Mpenzi we (2x)......
Ngiyakutanda Mpenzi we (2x)
I love you Mpenzi we (2x)
Je t'aime Mpenzi we (2x)
Nalingiyo Mpenzi we (2x)
Nakutaka Mpenzi we (2x)
Ndagukunda Mpenzi we (2x)
I want you Mpenzi we (2x)
Je t'ave Mpenzi we (2x)
Naleliyo Mpenzi we (2x)
Ndagushaka Mpenzi we (2x)


Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger