Wednesday, January 15, 2014
Sunday, January 12, 2014
Friday, January 10, 2014
Thursday, January 9, 2014
PERUZI YA ENZI... BIBALA BALA BY AWILO LONGOMBA
One of the best... i like congelese Music saaaana!
na leo nimeamka na bibala bala bibala bala bibala bala yoyooo hahahahaaaa
The are so many memories ndani ya huu wimbo! mamabo ya ikibinda nkoi... ikibinda eee... ikibinda nkoi lolest!
hakikisha hakuna watu karibu kabla ya kubonyeza play!... i swear you are gonna stand up and move your body... kama sio kichwa basi hata bega... sijasema kiuno lol
ENJOY!
VITENGE ORIGINAL NARUDIA ORIGINALE HASA! TOKA CONGO, NIGERIA NA BENIN!!
Haya wapenzi kuna vitenge vyenye ubora wa hali ya juu... vitenge originale kabisaaa
Kama unavyojua African prints ndio habari ya Mujini...
Sasa usiende ukaharibu shono lako la kisasa kwa vitenge vya kichina... ukifua mara moja unaogopa hata kushindia Lol!
Hapa tuna vitenge vya CONGO.... NIGERIA... na BENIN
Bei ni ya kutupa... yaani sawa na bure ukilinganisha na ubora wa kitenge chenyewe
Jisikie huru kuwasiliana nasi kwa simu hizi hapa chini
0713446543 ...... 0767446543
TUNAKUVALISHA.... TUNAKUPENDEZESHA!!
Monday, January 6, 2014
SINDI....NA LAURA PETTIE (51)
51
Maneno yaliyokimbizana toka kichwani mwake yaliishia
kusikojulikana, kinywa kilibaki wazi wakati macho yakiongezeka ukubwa kwa kadiri
alivyoyatumbua, ile mikono aliyoifumbata kifuani ilitetemeka kiasi cha
kuonekana dhahiri ikitingishika, Kwa wakati ule kichwa chake hakikufanya kazi
sawa sawa, hakuna alililofikiri kwa muda ule, fuvu lilibaki tupu tu kama mtungi
uliotoboka. Wahaka juu ya wahaka!
Wednesday, January 1, 2014
HAPPY NEW YEAR... 2014!!
WAPENDWA WASOMAJI WANGU...
...pengine nimechelewa kidogo kuwatakia kila la kheir lakini wanasema bora kuchelewa kuliko kutokufika kabisa!. Nawatakia mwaka mwenye mafanikio, wenye kila unaloomba kulipata na wenye kumjua Mungu na kumkaribia.
2013 ndio huoo umeingia kwenye historia na kila lililokuletea machozi ya huzuni, sononeko na jitimai acha liwe historia.
kesho nitawawekea tena mambo 10 ninayofikiria, ninayokushauri kuyatilizia mkazo mwaka huu!
ENJOY RESPONSIBLY!!
Subscribe to:
Posts (Atom)




















