Sunday, December 20, 2015

KUHUSU HADITHI YA SINDI

....Wapenzi wasomaji wangu

Nasikitika sana kuwa imebidi niikatishe kutokana na feedback kuwa ya kuvunja moyo.
Siku zote kwa Mwandishi, feedback ni kitu kinachomuhamasisha kufanya kazi kwa bidii zaidi lakini pia ni kitu kinachompa mwongozo wa kujitathmini.

kwa hadithi ya Sindi, nimesikitika sana kuwa pamoja na kazi kubwa ya kuwaburudisha. Feedback yake haikuwa ya kuvutia hata chembe. Kuandika page 15 na mtu akazisoma na kupita kimya kimya  hata comment hata kushare au hata like inaamisha hakuvutika na ulichoandika, hivyo basi badala ya kuendelea kupoteza nguvu zaidi nikaona niirudishe kabatini mpaka hapo nitakapoona kuna mabadiliko.

Kwa sasa, nimeileta NAHIYARI MAUTI kama zawadi ya kufungia mwaka wa wasomaji.
Sijui Feedback ya hii ila kwa kuwa ni zawadi sina neno..

Poleni sana kwa wale wachache mno waliojaribu kunisupport waziwazi ila ndio hivyo imenipasa kuchukua hatua hii.


Niwatakie usomaji mwema!

Laura Pettie!

5 comments:

  1. jamani laura, nasikitika sana isee kuisitisha

    ReplyDelete
  2. Please iendeleze sundi

    ReplyDelete
  3. Many thanks for this most informative information on Daily

    Current Affairs
    , GK and many more. Quality is better than quantity. Amazing write-up!”

    Trendslr

    ReplyDelete
  4. Ushuhuda

    Nilivunjika kabisa uhusiano wangu ulipoisha. Niliamini kweli nimepoteza upendo wa maisha yangu milele. Kisha nikampata Dk. Dawn, na kila kitu kilibadilika.
    Kwa fadhili, hekima, na mwongozo wenye nguvu, alinirudishia upendo ambao nilifikiri umetoweka. Leo, tuna furaha zaidi kuliko hapo awali!
    Dr. Dawn kweli aligeuza machozi yangu kuwa furaha.

    Dk. Dawn Anaweza Kukusaidia Na:

    ✅ Maneno ya mapenzi
    ✅ Tahadhari za Ujauzito
    ✅ Kurejesha Ndoa/Mahusiano
    ✅ Dawa za mitishamba kwa VVU, Ugonjwa wa Figo, Magonjwa ya Moyo, Maambukizi na mengine mengi.

    📧 Barua pepe: dawnacuna314@gmail.com
    📞 Simu/WhatsApp: +2349046229159

    Usiteseke kimya kimya. Dk. Dawn anaweza kurudisha furaha katika maisha yako!

    ReplyDelete
  5. Ukiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.

    Niliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com

    WhatsApp: +2349046229159

    Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
    Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.

    Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.

    Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.

    Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.

    Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.

    Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi

    ReplyDelete



Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger