Thursday, March 27, 2014

PERUSI YA ENZI:... DISTANCE BY LAY JAY DEE....


i love Jay Dee... one of the amazing Musicians in Tanzania.
Huu wimbo nauimba wooote utadhani niko bendi moja na Jay dee hahahahaa
naupenda sana... umechangamkaaa...unagusa moyooo
Hivyo viuno vya hao kina kaka tu Yalaaaaaah!

MSIKIE....
Nakupenda, nakutaka, nakuhitaji
Moyo wangu wakuwaza mpenzi uko mbali nami
Chorus
Nakupenda, nakutaka, nakuhitajiiii
Moyo wangu wakuwaza mpenzi uko mbali nami

Ngiyakuthanda, ngiyakufuna, ngiyakudinga
Nhliziyo yami, ngikabanga ngawe kodwa ukude nami mpenzi
I love you, I want you, and I need you
My heart is thinking of you but you're far away from me

Je t’aime, je t’ave, je besoin du toi
Mmh mon coeur te pans, Mh tiele du moi
Nalingiyo, naleliyo, naza naposa nayo
Motema nanga ezokisa yoo ozali mosika nanga
Ndagukunda, ndagushaka, ndagukeneye
Umutima wanje ula kwiyumvila aliko ulikule chane
Nze nkwagala, nkwagala, nkwagala nyo o
Umutima gwange gukulowoza, naye oliwala nyo nange

UBETI WA KWANZA
Usiku wa manane, nikasikia waniita
Kufumbua macho nagundua ni ndoto
Usiku wa manane, nikasikia kuh kuh
Kutizama pembeni sikuoni mpenzi
Mara nyingi peke yangu nitembeapo njiani
Nina kuwaza wewe na ninapata kiwewe
Rudia kiitikio - Repeat Chorus
\
UBETI WA PILI
Uwapo safarini mawazo mengi kichwani
Ili kujiliwaza ninapata shishii
Penzi si la mmoja mapenzi ni ya wawili
Na ni ya mimi na wewe witunge mwana wa mawe
Ili siku moja tuwe kitu kimoja
Tuje tujenge pamoja na watoto tuleee

Rudia Chorus ....kishaaaa
Nakupenda Mpenzi we (2x)......
Ngiyakutanda Mpenzi we (2x)
I love you Mpenzi we (2x)
Je t'aime Mpenzi we (2x)
Nalingiyo Mpenzi we (2x)
Nakutaka Mpenzi we (2x)
Ndagukunda Mpenzi we (2x)
I want you Mpenzi we (2x)
Je t'ave Mpenzi we (2x)
Naleliyo Mpenzi we (2x)
Ndagushaka Mpenzi we (2x)

Sunday, March 16, 2014

SINDI...NA LAURA PETTIE (60)

60

Walitembea hatua kwa hatua wakielekea kwenye meza moja iliyokuwa kwenye kona. Meddy akamvutia kiti Nadina na kumuonyesha ishara ya kuketi. Robo tatu ya watu ilikuwa imewatumbulia macho wao kiasi cha kumfanya Pamella atazame pembeni katika namna ya kuonyesha kutofurahishwa na ile hali ya watu kumshangaa Nadina pasipo sababu maalumu.
‘Huyo binti ni nani?’ Santina alimuuliza tena Pamella ambaye hakujibu kitu zaidi ya kushusha pumzi na kumtazama Nadina kwa macho ya uadui. Msema chochote akakamata kipaza sauti na kuomba waalikwa washiriki kitu kilichokuwa mbele yao.

Wednesday, March 5, 2014

SINDI.... na LAURA PETTIE (59)

59


Meddy aliiona hatari  iliyokuwa mbele yake, haraka akanyanyuka na kumfuata Nadina kule alikokuwa akijirudisha kinyume nyume. Akamdaka na kuamua kumrudisha chumbani haraka sana. Huku sebuleni Jerry Agapella alikuwa bado katika bumbuwazi fulani lakini akili yake haikufanya kazi haraka na kutambua maneno aliyoyatamka Nadina yalikuwa ni jina la mtu aliyeshikilia robo tatu ya furaha yake.

Monday, March 3, 2014

LUPITA NYONG'O NA TUZO YA OSCAR!


Lupita Nyong’o looks absolutely amazing like she always does while walking the red carpet at the 2014 Academy Awards held at the Dolby Theatre on Sunday (March 2) in Hollywood.



yaani mpaka raha aisee....


Ameshajiandikia historia akiwa na 31 tu....





Sunday, March 2, 2014

PERUZI YA ENZI.... LAURA(What's He Got That I Ain't Got) BY KENNY ROGERS



Laura, hold these hands and count my fingers
Laura, touch these lips you once desired
Lay your head upon my chest and hear my heartbeat
Gently run your fingers through my hair

Touch these ears that listened to your wishes
Most of them, fulfilled and that's a lot
Let your soft gentle hands caress my body
And then tell me what he's got that I ain't got

SINDI....NA LAURA PETTIE (58)

58
()
Alitembea taratibu akilivuka geti la kutoka casino ya Madame ya Adella, alitembea akiyumba yumba, sio tu kwa ulevi aliokuwa ameutwika kwa muda ule bali kwa uchovu na mvurugiko wa akili aliokuwa nao. Meddy aliingia garini kwake na kuketi kwa takribani dakika kadhaa akiwaza, na alichokuwa akiwaza hakukielewa sawasawa pia. matukio yalikuja akilini mwake na kutoweka kama mwanga wa radi.

Saturday, March 1, 2014

MY 5 MINUTES WITH GOD: TUBONGE BY DR. JOSE CHAMELEONE...

naupenda huu wimbo.... sijui kwanini but it brings me close  to God every time i sing it
i've just spent my 5 minutes with God through this Song
and you???... msikilie sasa Jose anavyoanza

Intro
Tubonge, Chameleone anaomba tubonge
Mungu Baba, we long de
Gospel time now, ooh Lord…
Verse 1
Mi na wewe wa kweli, katika wote ninaye ni wewe
Ana nipenda Chamili, bila kipimo unanipenda hakuna kiasi
Ningependa nikuone nikupe, vyote vyangu, nikupe chochote
Unachotaka chochote upate, lakini sina namna ya ku kupata
Bridge

LUPITA NYONG'O: ESSENCE SPEECH ON BLACK BEAUTY.....



Newcomer Lupita Nyong'o was honored with the Best Breakthrough Performance Award at the 7th annual Black Women in Hollywood Luncheon for her work in critically acclaimed film, 12 Years a Slave, presented by fellow actress, Alfre Woodard. The following is her acceptance speech in full:

I wrote down this speech that I had no time to practice so this will be the practicing session. Thank you Alfre, for such an amazing, amazing introduction and celebration of my work. And thank you very much for inviting me to be a part of such an extraordinary community. I am surrounded by people who have inspired me, women in particular whose presence on screen made me feel a little more seen and heard and understood. That it is ESSENCE that holds this event celebrating our professional gains of the year is significant, a beauty magazine that recognizes the beauty that we not just possess but also produce.




Snowfall Widget for Blogger


Snowfall Widget for Blogger