Wapenzi wasomaji wa uwanja huu..... kwanza niwatake radhi kwa kuchelewesha post mara kwa mara, kitu kichachopelekea malalamiko mengi. Najua inavyokera jamani
Mniwie radhi kwakweli kipindi hiki kuna majukumu yanaingiliana sana, mnivumilie jamani ukiona nachelewa jua kuna tatizo na wala si makusudi....
mambo yakikaa sawa itakuwa ni kupost kila siku.... kwa sasa nivumilieni tu wapendwa
Wenu, LAURA!
wenu Laura